Hebrews 4:9-10

9Kwa hiyo basi, imebaki raha ya Sabato kwa ajili ya watu wa Mungu; 10 akwa kuwa kila mmoja aingiaye katika raha ya Mungu pia hupumzika kutoka kazi zake mwenyewe, kama vile Mungu alivyopumzika kutoka kazi zake.
Copyright information for SwhKC